Elluz Peraza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Elluz Peraza

Elluz Peraza (amezaliwa tar. 26 Januari 1958) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Venezuela. Huenda akawa anafahamika zaidi kama Emperatriz Azcarraga kutoka katika tamthilia ya La Revancha, vilevile Teresa kutoka tamthilia ya Secreto de Amor.

Tamthilia alizoshiriki[hariri | hariri chanzo]

 • Quiero Contigo - 2007, Mexico-USA
 • Tierra de Pasiones - 2006, Colombia-USA
 • Anita: No Te Rajes! - 2004, Colombia-USA
 • Rebeca - 2003, USA-Venezuela
 • Lejana Como el Viento - 2002, Venezuela
 • Secreto de Amor - 2001, Venezuela-USA
 • La Revancha - 2000, USA-Venezuela
 • Carita Pintada - 1999, Venezuela
 • Quirpa de Tres Mujeres - 1996, Venezuela
 • El Perdon de los Pecados - 1996, Venezuela
 • Peligrosa - 1994, Venezuela
 • Mundo de Fieras - 1991, Venezuela
 • Pasionaria - 1990, Venezuela

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Elluz Peraza Katika Serials.RU

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elluz Peraza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.