Nenda kwa yaliyomo

Elliot Moshoke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elliot Moshoke ni mjasiriamali kutoka nchini Botswana na mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu (CEO) wa kampuni ya Acute Global Limited.

Alianzisha kundi la kampuni hizi mnamo mwaka 2017, kama tunda la kuanzishwa kando (spinoff) la kampuni ya kifamilia ya Moshoke Ranch, iliyoundwa mwaka 1979.[1][2]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Moshoke alizaliwa na kukulia Mahalapye, ambapo pia alitumia utoto wake.

Ana Shahada ya Kwanza ya Fedha (Bachelor of Finance) kutoka University of Botswana, na pia amepata Shahada ya Sheria (LLB) kutoka University of South Africa.[3][4][5][6]

  1. Adamson, Kabelo (2021-07-13). "Acute business leader » TheVoiceBW". TheVoiceBW (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-10-07.
  2. Thatayamodimo, Lesedi. "PAYLESS BTU EASE GROCERY PURCHASING FOR TEACHERS". Daily News Botswana. Iliwekwa mnamo 2023-10-07.
  3. Mosekiemang, Kenneth (2022-06-28). "Payless to partake in BSE's Flagship Tshipidi program". Weekend Post (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-10-07.
  4. Masolotate, Bonang. "ACUTE GLOBAL ACQUIRES PAYLESS SUPERMARKET". Daily News Botswana. Iliwekwa mnamo 2023-10-07.
  5. Dikuelo, Pauline (2022-03-21). "Payless' new owner pledges more citizen shelf space". Mmegi Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-10-07.
  6. Molelo, Laone (2022-10-06). "Retailers warn local producers against parallel products | Sunday Standard" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-10-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elliot Moshoke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.