Nenda kwa yaliyomo

Elkan Baggott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elkan William Tio Baggott (alizaliwa 23 Oktoba 2002) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayocheza kama beki wa kati katika klabu ya EFL Championship ya Ipswich Town. Alizaliwa nchini Thailand, lakini anachezea timu ya taifa ya Indonesia.[1]

  1. [(https://football-tribe.com/asia/2019/10/08/elkan-baggott-the-indonesian-wonderkid-youve-probably-never-heard-of/) "Elkan Baggott – the Indonesian Wonderkid You've Probably Never Heard of"]. 8 Oktoba 2019. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elkan Baggott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.