Nenda kwa yaliyomo

Elizabeth Ongoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth Ongoro ni mwanasiasa wa Kenya. Hadi mwaka 2023, alikuwa mwanachama wa Orange Democratic Movement (ODM) na alichaguliwa kuiwakilisha Kasarani Constituency katika Bunge la 10 la Kitaifa katika uchaguzi wa wabunge Kenya wa 2007 hadi uchaguzi wa 2013.

Mwaka 2023, Elizabeth alihama kutoka ODM na kujiunga na chama cha UDA, akieleza kuchoshwa na chama chake cha awali. Elizabeth ameona na Ferdinand Masha Kenga, pamoja wana watoto wawili, Rehema na Joshua.[1]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived Juni 16, 2008, at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Ongoro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.