Elizabeth Mpofu
Mandhari
Elizabeth Mpofu (1959) ni mkulima mdogo, mwandishi na mwanaharakati mwenye makazi yake nchini Zimbabwe.Mpofu ni mratibu mkuu wa Via Campesina na mwaka 2016 alikuwa balozi wa shirika la chakula na kilimo la umoja wa mataifa (FAO) kwa mwaka wa kimataifa wa kunde.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Davies, Sara (31 Desemba 2016). "Elizabeth Mpofu, Africa's Pulse Ambassador". Naturally Zimbabwean. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2020.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "20 Heroines Revolutionizing Food Activism". Food Tank. 5 Machi 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Machi 2020. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2020.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Mpofu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |