Elizabeth M. Boyer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth M. Boyer (Novemba 12, 1913 huko Ohio - 2 Desemba 2002) alikuwa wakili, mwanaharakati wa haki za wanawake na mwandishi wa nchini Marekani.

Mnamo mwaka 1937, alipata B.S. katika elimu kutoka Chuo kikuu cha jimbo la Bowling Green. Mnamo 1947, alipata shahada yake ya sheria kutoka Chuo cha Sheria cha Cleveland. Mnamo 1950, alipata shahada ya uzamili ya sheria kutoka chuo kikuu cha Case Western Reserve University School of Law. Alikuwa profesa kamili wa sheria ya biashara katika chuo cha Jumuiya ya Kuyahoga.

Mnamo 1968, alianzisha Women's Equity Action League (WEAL) kama moja ya kutetea usawa wa wanawake wataalam.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Boles, Janet K.; Hoeveler, Diane Long (2004). Historical Dictionary of Feminism. Scarecrow Press. ISBN 0-8108-4946-1. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth M. Boyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.