Elizabeth Kyazike
Mandhari
Elizabeth Kyazike ni mtaalamu wa historia ya kale na mtafiti wa urithi wa kitamaduni kutoka Uganda. Yeye ni Profesa Mshirika katika Idara ya Historia, Akiolojia na Masomo ya Urithi katika Chuo Kikuu cha Kyambogo na ni Dekana wa Fakulti ya Sanaa na Sayansi za Binadamu.[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Kyazike alipata shahada yake ya uzamivu (PhD) katika Akiolojia na Masomo ya Urithi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania, akijikita hasa katika Archaeology.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ass. Prof. Elizabeth Kyazike". Kyambogo University. Iliwekwa mnamo 2024-12-21.
- ↑ "Elizabeth Kyazike". Research Gate. Iliwekwa mnamo 2024-12-21.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Kyazike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |