Elizabeth K. T. Sackey
Mandhari
Elizabeth Kwatsoe Tawiah Sackey (alizaliwa 6 Mei, 1958) ni mwanasiasa wa Ghana na alikuwa Mbunge wa jimbo la Okaikwei North (Ghana parliament constituency). Alikuwa mwanachama wa Bunge la Sita la Jamhuri ya Nne ya Ghana akiwakilisha Jimbo la Okaikwei North katika Greater Accra Region kwa tiketi ya New Patriotic Party.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Elizabeth Sackey unanimously endorsed as Accra mayor". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-10-08.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth K. T. Sackey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |