Nenda kwa yaliyomo

Elizabeth Frances Sey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth Frances Baaba Sey (akijulikana pia kama Biney; 21 Aprili 19271991) alikuwa mwanamke wa kwanza kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Ghana. Biney baada ya kusoma katika Shule ya Sekondari ya Achimota mjini Accra, alidahiliwa katika chuo kilichoitwa wakati huo University College of the Gold Coast (sasa hivi Chuo Kikuu cha Ghana) mnamo mwaka 1950, na alihitimu shahada ya awali (BA) mwaka 1953. [1]

  1. "Legon Inaugurates New Hall Of Residence" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Modern Ghana. 22 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Frances Sey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.