Elizabeth Agyemang
Mandhari
Elizabeth Agyemang (alizaliwa 13 Mei, 1949) ni mwanasiasa wa Ghana na alikuwa Mbunge wa Oforikrom (Ghana parliament constituency) katika Ashanti Region. Yeye ni mwanachama wa New Patriotic Party na alihudumu kama Naibu Waziri wa Mkoa wa Ashanti.[1]
Maisha ya Awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Agyemang alizaliwa katika Kotei, mkoa wa Ashanti Region nchini Ghana. Ana cheti cha ualimu ‘A’ alichopata mwaka 1971. Pia alipata cheti cha uuguzi kutoka Hospitali ya Alexandria, Virginia, Marekani mwaka 1989. [2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Kuanzia Januari 2005 hadi Januari 2017, Elizabeth aliwakilisha jimbo la Oforikrom katika mkoa wa Ashanti, Ghana.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Amend mining law - Hon. Elizabeth Agyemang". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-06-30.
- ↑ "I'm Lucky To Be Nominated Deputy Reg Minister – Elizabeth Agyemang | News Ghana". www.newsghana.com.gh (kwa American English). 16 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 2018-06-30.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Agyemang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |