Nenda kwa yaliyomo

Elizabeth Addo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth Addo (alizaliwa 1 Septemba, 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Ghana anayekipiga kama mshambuliaji katika klabu ya mpira ya Al-Nahda nchini Saudi Arabia[1].

Pia alikua ni nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.[2]

  1. "FIFA U-20 Women's World Cup Japan 2012 – List of Players: Ghana" (PDF). FIFA. 14 Septemba 2012. uk. 6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 17 Desemba 2019. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Squad lists: Ghana" (PDF). Confederation of African Football. 16 Novemba 2018. uk. 4. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 23 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Addo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.