Elisabeth Valerio
Mandhari
Elisabeth Isabel Valerio ni mfanyabiashara na mwanasiasa wa Zimbabwe ambaye ni kiongozi wa Muungano wa Zimbabwe (UZA).[1] Valerio pia alikuwa mwanamke pekee mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Zimbabwe wa 2023.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Chronicle, The (2023-08-16). "ZEC clears Elisabeth Isabel Valerio". The Chronicle (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-08-26.
- ↑ "BBC World Service - Newshour, Zimbabwe's only female presidential candidate wins appeal to stand". BBC (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2023-07-20. Iliwekwa mnamo 2023-08-03.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elisabeth Valerio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |