Nenda kwa yaliyomo

Elisabeth Tankeu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elisabeth Tankeu (29 Februari 1944 – 16 Oktoba 2011) alikuwa mwanasiasa wa Kamerun. Alikuwa Kamishna wa Biashara na Viwanda wa Umoja wa Afrika.[1]

Taaluma ya Kisiasa

[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia mwaka 1976 hadi 1979, Tankeu alihudumu kama Naibu Mkurugenzi wa Mipango nchini Cameroon, na kuanzia 1980 hadi 1983 alikuwa Mkurugenzi wa wizara hiyo hiyo. Kuanzia 1983 hadi 1988, alikuwa Naibu Waziri wa Mipango ya Viwanda, na kuanzia 1988 hadi 1992 alikuwa Waziri wa Mipango na Maendeleo ya Kikanda

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Tankeu alifariki tarehe 16 Oktoba 2011 katika hospitali moja huko Paris, Ufaransa.[2]

Alizikwa tarehe 19 Novemba 2011 huko Bangoua, mji wa asili wa mume wake uliopo Magharibi mwa Kameruni.

  1. ↑ "Countries in Africa plan tack for G-8 meeting". The New York Times. 5 Julai 2005. Iliwekwa mnamo 2009-10-20.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Cameroon mourns: Former Minister Elisabeth Tankeu dies in Paris". Cameroon Radio & Television. 18 Oktoba 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2011.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elisabeth Tankeu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.