Nenda kwa yaliyomo

Elijah Muchima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elijah Muchima ni mwanasiasa kutoka Zambia. Yeye ni Mbunge wa sasa wa jimbo la Ikeleng’i.[1]Ni mwanachama wa Chama cha United Party for National Development (UPND).

Alizaliwa tarehe 26 Mei 1957 nchini Zambia.[1]

Ana Cheti cha Sheria (Uingereza), Diploma ya Uhasibu (ZDA), na elimu ya sekondari hadi Kidato cha Tano (Form V).[1]

Alihudumu kama Waziri wa Ardhi na Maliasili kuanzia tarehe 7 Septemba 2021 hadi 21 Julai 2025.[4][5] Baadaye, aliteuliwa kuwa Waziri wa Afya kuanzia tarehe 22 Julai 2024 hadi 19 Februari 2026.[2][3]

  1. "Cabinet". ZambiaInvest (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
  2. "Zambia : Former President Lungu Criticises President Hichilema over Ministerial Reshuffles" (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2024-07-22. Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
  3. Mwenya Mofya. "HH fires ministers Muchima, Mubanga". Zambia: News Diggers! (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elijah Muchima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.