Elijah Ayolabi
Mandhari
Ayolabi Elijah Ayolabi ni mtaalamu wa jiofizikia kutoka Nigeria.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Ayolabi ni Makamu Mkuu wa Chuo wa Chuo Kikuu cha Mountain Top (MTU) pia ni mtaalamu wa jiofizikia ya mazingira, pamoja na jiofizikia ya uhandisi na utafiti wa rasilimali akifanya tafiti nyingi za kimazingira na za utafiti wa rasilimali kwa mashirika yenye sifa kubwa kama vile Schlumberger na Celtel. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "prof-elijah-ayolabi News — Latest On Prof. Elijah Ayolabi — — The Guardian Nigeria Newspaper – Nigeria and World News". guardian.ng (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-11. Iliwekwa mnamo 2018-04-11.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elijah Ayolabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |