Elie Mpanzu Kibisawala
Mandhari
Elie Mpanzu Kibisawala (alizaliwa Kinshasa, tarehe 1 Januari 2002) ni mchezaji wa soka mwenye uraia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Akiwa na urefu wa mita 1.65, anacheza kama kiungo. Kwa urefu wa mita 1.65 na uzito wa kilo 65,Mpanzu ni mshambuliaji mwenye haraka anayetumia mguu wa kulia. Uwezo wake wa kucheza nafasi mbalimbali unamruhusu kucheza kama winga wa kulia au wa kushoto
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Kabla ya kujiunga na Simba SC, Elie alitofautisha katika Vita Club wa ligi ya Kongo wakati wa msimu wa 2023-2024 ambapo alitunukiwa kama mchezaji bora wa timu na wake.
Mnamo Oktoba 2024, baada ya kufungwa kwa soko la usajili Ulaya, alisaini na Simba SC kwa ada ya €183,000, akitafuta kufufua kazi yake Tanzania.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elie Mpanzu Kibisawala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |