Nenda kwa yaliyomo

Eliane Rosa Naika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eliane Rosa Naika (alizaliwa Machi 31, 1955, huko Majunga) ni mwanasiasa wa Madagascar. Yeye ni mwanachama wa Seneti ya Madagascar anayewakilisha Menabe, na ni mwanachama wa chama cha Tiako Madagasikara.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eliane Rosa Naika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.