Nenda kwa yaliyomo

Elia wa Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elia wa Misri (261 hivi - Antinoe, 371 hivi) ni mmonaki wa Misri[1] aliyeishi miaka 75 kwenye pango[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu [3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. ↑ "Collections Online | British Museum". www.britishmuseum.org. Iliwekwa mnamo 2023-01-23.
  2. ↑ "Venerable Elias the Hermit, of Egypt". www.oca.org. Iliwekwa mnamo 2026-04-02.
  3. ↑ "Venerable Cherimon (Chaeremon) of Egypt". Orthodox Church in America. 2020-08-16. Iliwekwa mnamo 2021-11-15.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.