Nenda kwa yaliyomo

Elham Shahin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elham Shahin

Amezaliwa Elham El Sayed Ahmed Shahin
Kairo, Misri
Kazi yake Mwigizaji, mtayarishaji wa filamu
Miaka ya kazi 1981 - mpaka sasa

Elham Shahin (kwa Kiarabu: إلهام شاهين, pia huandikwa Ilham Shaheen, Ilham Shahin, Ilham Chahine, na Elham Shaheen) ni mwigizaji wa Kimisri. Ameonekana katika filamu na tamthillia za televisheni za Misri na ameshinda tuzo za ndani na kimataifa.[1] Mnamo mwaka 2021, alicheza kama mwanamke msaliti katika tamthilia ya Jean-Paul Sartre iitwayo The Respectful Prostitute. Gazeti la Haaretz liliripoti kwamba tukio hili "lilisababisha machafuko ya kisiasa nchini Misri.[2]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elham Shahin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. admin (2024-10-10). "Elham Shahin". Fanoos.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-09-27.
  2. Saab, Sheren Falah, "A daring actress just caused a social media uproar and political turmoil in Egypt", Haaretz.com (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2025-09-27