Nenda kwa yaliyomo

Eleni Artymata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eleni Artymata

Eleni Artymata (alizaliwa Paralimni, 16 Mei 1986) ni mwanariadha ambaye hushiriki kimataifa kwa Kupro. [1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eleni Artymata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.