Elementi ya kundi la 12

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elementi za kundi la 12 ni kundi kwenye jedwali la elementi au mfumo radidia. Elementi hizo ni pamoja na zinki, cadimi, zebaki, na copernici . Copernici ni elementi sintetiki, sio thabiti kwa hivyo tabia zake hazikueleweka bado. Elementi zote za kundi hilo zina kiwango cha kuyeyuka cha duni na pia kiwango cha kuchemsha cha duni. Zebaki (mercury) ni kioevu.