Eleazari mfiadini

Eleazari mfiadini alikuwa mzee Myahudi wa karne ya 2 KK aliyekubali kuuawa kuliko kula nyama haramu.
Habari zake zinasimuliwa katika kitabu cha pili cha Wamakabayo, sura ya 6.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.
Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 1 Agosti[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eleazari mfiadini kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |