Elche
Mandhari
Elche ni mji wa Hispania, katika mkoa wa Alicante.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 232,517 [1] na kuufanya wa kumi na tisa nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Elche kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |