Elaine Proctor
Mandhari
| Elaine Proctor | |
| Amezaliwa | Elaine Proctor 1960 Afrika ya kusini |
|---|---|
| Nchi | Afrika kusini |
| Kazi yake | mwandishi wa vitabu na muigizaji |
| Kipindi | 1979 -2000 |
'Maandishi ya kooze'Elaine Proctor ni mtu wa Afrika kusini alizaliwa mwaka 1960 ni muongozaji wa Filamu ,mwandishi wa vitabu na Muigizaji , Filamu yake ya Friends ilikuwepo kwenye 1993 Cannes Film Festival ambayo ilishinda Caméra d'Or Tofauti maalum
[1]
Elaine Proctor alishiriki kwenye National Film and Television School akiwa anajifunza chini ya Mike Leigh kuongoza filamu [2] Her graduation film, On the Wire, won the school's Sutherland Trophy.[3] Elaine Proctor pia amendika riwaya 2 , riwaya yake ya pili Savage Hour ilipendekezwa kwenye Barry Ronge Fiction Prize. mwaka 2015[4]
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Game for Vultures (1979)
- Sharpeville Spirit (1986)
- We Will See/Re tla bona (1987)
- On the Wire (1990)
- Friends (1993)
- Kin (2000)[3][5]
Uongo
[hariri | hariri chanzo]viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website Ilihifadhiwa 6 Novemba 2021 kwenye Wayback Machine.
- Elaine Proctor at the Internet Movie Database
- "Elaine Proctor on The Savage Hour: trying to give goodness a shape", The Irish Times, 22 May 2015.
Jamii
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Festival de Cannes: Friends". festival-cannes.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-02. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2009.
{{cite web}}: More than one of|accessdate=na|access-date=specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Candice Pires, "Filmmakers Mike Leigh and Elaine Proctor on their close friendship: Elaine Proctor and Mike Leigh met when she was a student at the National Film School and he was her teacher, and then, as fellow filmmakers, their friendship blossomed." The Guardian, 17 May 2015.
- 1 2 Beverly Andrews,"Himba on film", New African, 1 March 2001 – via HighBeam Research subscription required .
- ↑ "The Outsiders in My Head: 2015 Barry Ronge Fiction Prize Shortlistee Elaine Proctor on Writing The Savage Hour", The Sunday Times (South Africa), 2 June 2015.
- ↑ "Review: Kin", Variety, 7 August 2000.
- ↑ "Woven Tapestry of Colour", Daily News (Durban), 11 July 2012 – via HighBeam Research subscription required .