Nenda kwa yaliyomo

Ela (mfalme)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Ela alivyochorwa mwaka 1553.

Ela (kwa Kiebrania אֵלָה, ’Ēlā) alikuwa mwana wa Baasha wa kabila la Isakari akatawala kwa miaka 2 Ufalme wa Israeli hadi alipouawa na Zimri aliyejifanya mfalme na kuangamiza familia yake yote[1].

Biblia inamhukumu hasa kwa kuendeleza sera ya kidini iliyowataka Waisraeli wamuabudu YHWH kwa sura ya fahali ya dhahabu katika mahekalu ya Dani na Beteli ili wasiende Yerusalemu, mji mkuu wa ufalme wa ukoo wa Daudi.

Habari zake zinapatikana hasa katika Kitabu cha Kwanza cha Wafalme, 16.

  1. Edwin Thiele, The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings (1st ed.; New York: Macmillan, 1951; 2d ed.; Grand Rapids: Eerdmans, 1965; 3rd ed.; Grand Rapids: Zondervan/Kregel, 1983). ISBN 0-8254-3825-X, 9780825438257

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ela (mfalme) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.