Nenda kwa yaliyomo

El Mostafa Higazy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
El Mostafa Higazy

El Mostafa Higazy ni mwanafalsafa wa Misri ambaye alihudumu kama mshauri wa kisiasa wa Rais wa mpito, Adly Mansour, Pia ni mwanzilishi wa Taasisi ya Nasaq, kituo cha utafiti na fikra nchini Misri kinachojikita katika masuala ya haki.

[1]

  1. "Dr. Mostafa Higazy". NYU Law. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu El Mostafa Higazy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.