Nenda kwa yaliyomo

Eiji Toyoda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eiji Toyoda (Septemba 12, 1913Septemba 17, 2013) alikuwa mfanyabiashara wa Kijapani aliyesaidia kuifanya Toyota Motor Corporation kuwa yenye faida na kutambulika kimataifa. Alikuwa rais wa Toyota na baadaye mwenyekiti. Nafasi yake ya urais ilichukuliwa na Shoichiro Toyoda[1][2] .

  1. "中日新聞:豊田英二氏死去 トヨタ最高顧問 100歳:社会(CHUNICHI Web)" [Eiji Toyoda, Toyota's top advisor, dies at 100 years old]. Chunichi.co.jp (kwa Kijapani). 17 Septemba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Septemba 2013. Iliwekwa mnamo 17 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Inoue, Kae; Anna Mukai; Yuki Hagiwara (16 Septemba 2013). "Eiji Toyoda, Who Turned Toyota Into Export Giant, Dies at 100". Bloomberg News. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2013.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eiji Toyoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.