Nenda kwa yaliyomo

Egidio Viganò

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Egidio Viganò (Sondrio, Italia, 29 Juni 1920 - Roma, 23 Januari 1995) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Shirika la Wasalesiani wa Don Bosco, na alikuwa Mkuu wa 7 wa Shirika hilo kuanzia mwaka 1977 hadi alipoaga dunia mwaka 1995.

Ingawa alikuwa Mwitalia, aliiona Chile kama nchi yake ya pili kwa sababu alihamia huko akiwa na umri wa miaka 19. Alikuwa pia mtambuzi wa Papa Yohane Paulo II, mtaalamu maarufu wa teolojia na mwandishi.[1]

  1. St. John Bosco (Canonized: 1934). Beatified June 2 1929. Link retrieved on 4 February 2015 from http://www.salesianmissions.org/about-us/st-john-bosco-canonized-1934.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.