Nenda kwa yaliyomo

Edwin Dutton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edwin Dutton (alizlaiwa 8 Aprili 189024 Mei 1972) alikuwa mchezaji na kocha wa mpira wa miguu wa ki-Anglo-Ujerumani. Dutton aliichezea nafasi ya mshambuliaji katika klabu za Britannia Berlin 92, BFC Preussen, Newcastle United, na pia timu ya taifa ya Ujerumani.

Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, alikamatwa na kuwekwa kwenye kambi ya Ruhleben, kambi ya wafungwa raia nchini Ujerumani. Katika miaka ya 1920, aliongoza klabu ya Stuttgarter Kickers na baadaye akawa kocha wa kwanza wa kitaalamu katika klabu ya Ipswich Town.[1][2]

  1. www.iffhs.de
  2. Der Rasensport (Berlin), Volume 1913
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin Dutton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.