Nenda kwa yaliyomo

Edwin Dikoloti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edwin Gorataone Dikoloti ni mwanasiasa na mwalimu kutoka Botswana. Kwa sasa ni Waziri wa Kaimu wa Ardhi na Kilimo nchini Botswana, baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo mwezi Novemba 2024 na Rais wa sasa wa Botswana, Duma Gideon Boko. Muhula wake ulianza tarehe 11 Novemba 2024.[1][2]

  1. ↑ "Botswana Government Ministries". www.govpage.co.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-04-11.
  2. ↑ "Republic of Botswana ♦ Embassy in Stockholm, Sweden ♦". www.botswana.se. Iliwekwa mnamo 2026-04-11.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin Dikoloti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.