Edward Ernest Swanstrom
Mandhari


Edward E. Swanstrom (20 Machi 1903 – 10 Agosti 1985) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la New York kutoka 1960 hadi 1978.
Swanstrom pia alikuwa mkurugenzi wa kitaifa wa Huduma za Misaada za Kikatoliki (Catholic Relief Services) kutoka 1947 hadi 1976.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Edward Swanstrom; Directed Catholic Aid Group". The New York Times (kwa American English). 1985-08-14. ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2024-05-01.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |