Edward Enoch Jenkins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sir (Edward) Enoch Jenkins ( 8 Februari 189525 Februari 1960 [1] [2] ) alikuwa wakili na hakimu wa Uingereza. Alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Fiji kutoka 1938 hadi 1945. Baadaye alikuwa Jaji Mkuu wa Nyasaland .

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Jenkins alizaliwa huko Cardiff, Wales, tarehe 8 Februari 1895 . wazazi wake ni William Jenkins na Briar Dene. Alijulikana kwa jina lake la kati. [3] Alisoma hapo awali katika Shule ya Sekondari ya Manispaa ya Howard Gardens huko Cardiff, baadaye alisoma katika chuo kikuu cha South Wales and Monmouthshire,, kilichopo pia huko Cardiff.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Law Journal. Law Journal. 1960. uk. 178. 
  2. "Sir (Edward) Enoch Jenkins (1895-1960), Judge". National Portrait Gallery. Iliwekwa mnamo 27 September 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Sir (Edward) Enoch Jenkins (1895-1960), Judge". National Portrait Gallery. Iliwekwa mnamo 27 September 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Enoch Jenkins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.