Eduardo Pereira Rodrigues

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eduardo Pereira Rodrigues

Eduardo Pereira Rodrigues (anayejulikana kama Dudu; alizaliwa tarehe 7 Januari mwaka 1992) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa kushambulia na winga kwa Palmeiras.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eduardo Pereira Rodrigues kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.