Eduardo Francisco Pironio
Mandhari

Eduardo Francisco Pironio (3 Desemba 1920 – 5 Februari 1998) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Argentina, aliyefanya kazi katika idara mbalimbali za Curia ya Vatikani kuanzia 1975 hadi 1996.
Alipewa hadhi ya kardinali mwaka 1976 na kuwa Kardinali-Askofu wa Sabina-Poggio Mirteto mwaka 1995.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Servo di Dio Eduardo Francisco Pironio". Santi e Beati. 25 Julai 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |