Nenda kwa yaliyomo

Eduardo Arbide

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eduardo Arbide Allende (4 Desemba 190013 Novemba 1987), anayejulikana nchini Hispania kama "Arbide", alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu mwenye asili ya Nchi ya Kieuskara.[1]

Alichezea klabu ya Real Sociedad pamoja na timu ya taifa ya Hispania.[2]

  1. Basque players for Spain at rsssf
  2. Profile at Fútbol en La Red
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eduardo Arbide kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.