Nenda kwa yaliyomo

Edoardo Menichelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edoardo Menichelli (San Severino Marche, 14 Oktoba 1939 - San Severino Marche, 20 Oktoba 2025) alikuwa prelati wa Italia wa Kanisa Katoliki.

Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Ancona-Osimo kutoka mwaka 2004 hadi 2017. Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 14 Februari 2015. [1]

  1. Larici, Letizia (14 Oktoba 2014). "Ancona, l'arcivescovo Menichelli compie 75 anni e si dimette ha consegnato la lettera al Papa". Il Messagero (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 9 Januari 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.