Edmond Jitangar
Mandhari
Goetbé Edmond Jitangar (alizaliwa 2 Novemba 1952 huko Bokoro, Chad) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki la Chad.
Alikuwa Askofu wa Sarh kuanzia mwaka 1991 hadi 2016, na tangu mwaka 2016, amekuwa Askofu Mkuu wa N'Djamena.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rinunce e nomine". press.vatican.va.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |