Nenda kwa yaliyomo

Edmond Amran El Maleh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edmond Amran El Maleh (30 Machi 1917 - 15 Novemba 2010) alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa Moroko.

El Maleh alizaliwa Safi, Moroko kwa familia ya Wayahudi ya Kiberberi.[1] Wakati wa ujana wake alijiunga na Chama cha Kikomunisti cha Moroko. Alihamia Paris mnamo 1965, akifanya kazi huko kama mwandishi wa habari na mwalimu wa falsafa.

  1. ↑ Keil-Sagawe, Regina (2011). "The Writer Edmond Amran El Maleh: A Moroccan Jew with Arabo-Berber Roots". Qantara.de. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)