Edgard Aristide Maranta
Mandhari

Edgar Aristide Maranta, OFMCap (anajulikana kwa jina la Edgar Maranta; 9 Januari 1897 – 29 Januari 1975), alikuwa askofu kutoka Uswisi wa Kanisa Katoliki ambaye alitumia sehemu kubwa ya kazi yake ya kichungaji Dar es Salaam, akiwa mmisionari kwa muda wa miaka 23 kutoka 1930 hadi 1953 na baadaye kuwa askofu mkuu kwa miaka 15.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Longford, Michael (2001). The Flags Changed at Midnight. Gracewing. uk. 353. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2023.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Duggan, William Redman; Civille, John R. (1976). Tanzania and Nyerere: A Study of Ujamaa and Nationhood. University of Michigan. uk. 49. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2023.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la LXVII. 1975. uk. 160. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2023.
Edgard Aristide Maranta
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |