Nenda kwa yaliyomo

Edgar Yves Monnou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edgar Yves Monnou (9 Februari 1953 – 4 Aprili 2025) alikuwa mwanasiasa wa Benin.

Aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Benin kuanzia mwaka 1995 hadi 1996.[1]

  1. Banouto (2025-04-05). "Décès de Yves Edgard Monnou, ancien ministre des affaires étrangères". banouto.bj (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2026-05-14.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edgar Yves Monnou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.