ELDIS

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ni hifadhidata na huduma ya barua pepe ya chanzo cha habari kwa maendeleo ya kimataifa. lengo ni kushirikish ujuzi bora kwa maendeleo ,sera,mazoezi na utafiti.

Usuli[hariri | hariri chanzo]

Awali ilikuwa kifupi cha "Electronic Development and Environment Information System". ni moja ya familia ya huduma za ujuziilizalishwa Institute of Development Studies, Sussex, Uingereza.