Dzifa Abla Gomashie
Mandhari
Dzifa Abla Gomashie ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa (NDC). Anawakilisha Ketu Kusini (eneo bunge la Ghana) katika bunge la nane la Jamhuri ya 4 nchini Ghana.[1][2]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Dzifa Abla Gomashie alizaliwa Jumapili, tarehe 25 Julai, 1965 na mji wake wa asili unaitwa Aflao katika Mkoa wa Volta. Alienda Chuo Kikuu cha Ghana kwa diploma yake mwaka wa 1998, akaendelea tena na BFA yake katika shule hiyo hiyo (Chuo Kikuu cha Ghana) mwaka wa 2003. Aliendelea tena kwa kumpatia MPhil katika Chuo Kikuu cha Ghana mwaka wa 2008.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Parliament of Ghana". www.parliament.gh. Iliwekwa mnamo 2025-05-01.
- ↑ "Dzifa Gomashie, Biography". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-12-13. Iliwekwa mnamo 2025-05-01.
- ↑ "Parliament of Ghana". www.parliament.gh. Iliwekwa mnamo 2025-05-01.
- ↑ GNA (2025-01-16). "Profile of Abla Dzifa Gomashie, Tourism, Culture and Creative Art Minister-designate". Ghana News Agency (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-05-01. Iliwekwa mnamo 2025-05-01.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dzifa Abla Gomashie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |