Dylan Sprayberry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Dylan Sprayberry
Dylan Sprayberry.

Dylan Muse Sprayberry (aliyezaliwa Julai 7, 1998) ni mwigizaji wa Marekani anayejulikana kwa kuonekana kama Clark Kent katika filamu ya Man of Steel na Liam Dunbar kwenye mfululizo wa Teen Wolf kutoka mwaka 2014 hadi 2017.

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dylan Sprayberry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.