Dustin Moskovitz
Mandhari
Dustin Aaron Moskovitz (alizaliwa Mei 22, 1984) ni mjasiriamali wa mitandao kutoka nchini Marekani ambaye mwanzilishi mwenza wa mtandao wa kijamii wa Facebook ambao kwa sasa upo chini ya kampuni ya Meta Platforms pamoja na Mark Zuckerberg, Eduardo Saverin, Andrew McCollum na Chris Hughes.[1] Mwaka 2008, aliondoka Facebook na kuanzisha Asana pamoja na Justin Rosenstein.[2]
Mnamo Machi 2011, Forbes iliripoti Moskovitz kuwa bilionea mchanga zaidi ulimwenguni aliyejitegemea mwenyewe, kwa msingi wa hisa yake ya asilimia 2.34 katika Facebook wakati huo.[3] Kulingana na Forbes, kufikia Aprili 2026, utajiri wa Moskovitz ulikadiriwa kuwa dola bilioni 10.2.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Company Timeline". Facebook. Iliwekwa mnamo Oktoba 3, 2008.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Zoe Fox (Machi 10, 2011). "Forbes's Youngest Billionaire: Facebook Co-Founder Dustin Moskovitz Edges Out Mark Zuckerberg". Time. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 26, 2018. Iliwekwa mnamo Desemba 14, 2014.
{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pilkington, Ed (Machi 10, 2011). "Forbes Rich List: Facebook Six Stake Their Claims". The Guardian. UK. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 26, 2018. Iliwekwa mnamo Machi 30, 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Alba, Alejandro (Agosti 25, 2015). "Facebook CEO tops list of the 20 wealthiest people under 35". NY Daily News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 26, 2018. Iliwekwa mnamo Desemba 10, 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dustin Moskovitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |