Nenda kwa yaliyomo

Drahşan Arda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Drahşan Arda (alizaliwa 1945) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Uturuki. Alithibitishwa kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke wa mpira wa miguu duniani na FIFA.[1][2][3]

Maisha yake

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa huko Edirne,[4] alicheza mpira wa vikapu na voliboli kipindi alipokua ya shule ya upili. Kisha akapata hamasa katika mpira wa miguu. Arda alipata cheti chake cha mwamuzi baada ya kumaliza mafunzo ya waamuzi yaliyofanywa na Tarık Yamaç katika Mkoa wa Zonguldak, Uturuki kati ya 5-26 Novemba 1967.

  1. Alethea Smartt (2021-06-03). "Groundhopper Soccer Guides | Making History: Female Soccer Referees". Groundhopper Soccer Guides (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-04-02.
  2. "FIFA confirms Drahşan Arda as first woman football referee - Turkish News". Hürriyet Daily News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-02.
  3. Alethea Smartt (2021-06-03). "Groundhopper Soccer Guides | Making History: Female Soccer Referees". Groundhopper Soccer Guides (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-04-02.
  4. "İlk kadın hakem Drahşan Arda kimdir? Drahşan Arda nereli?". Milliyet (kwa Kituruki). Iliwekwa mnamo 2023-04-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Drahşan Arda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.