Dragon Ball Z

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Dragon

Dragon Ball Z (kwa Kijapani: Z Hepburn Z: Doragon Bōru Zetto; kifupi: DBZ) ni mfululizo wa vipindi vya televisheni vya katuni Ya Japani ambavyo vinatayarishwa na Toei Animation.