Dr. Ellie V.D

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dr. Ellie V.D (alizaliwa mwaka 1956) ni mtaalamu wa falsafa na mbobezi wa elimu ya theolojia.

Kila Jumapili huwa anafanya mahojiano na kipindi cha CHOMOZA kinachorushwa na kituo cha runinga cha Clouds Tv Tanzania.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]