Dr. Alban
Mandhari

Alban Uzoma Nwapa (anajulikana kwa jina lake la kisanii Dr. Alban, alizaliwa 26 Agosti 1957) ni mwanamuziki na mtayarishaji wa Uswidi mzaliwa wa Nigeria anayemiliki lebo yake ya rekodi, Dr. Records.[1][2][3]
Maisha na kazi
[hariri | hariri chanzo]Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Alban alizaliwa Alban Uzoma Nwapa katika familia ya daraja la kati yenye watoto kumi mjini Oguta, Jimbo la Imo, Nigeria. Pia ni Mwigbo.
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Alipata elimu yake ya sekondari katika chuo caha Christ the King College na aliishi sehemu kubwa ya utotoni mwake katika mji wake wa Oguta. Alipokuwa na umri wa miaka 23, alisafiri kwenda Uswidi kusoma upasuaji wa meno katika chuo kikuu cha Lund. Ili kufadhili masomo yake, Dr. Alban alifanya kazi kama DJ katika klabu ya Stockholm iitwayo Alphabet Street.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Dr Alban - the Story". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dr Alban – 50 Greatest Nigerians of All Time? (Video) :: Naija's Most Incredible". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Calista Luxury Resort Hotel | Belek • Antalya • Türkiye". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Juni 2013. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dr. Alban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |