Douglas Costa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Douglas Costa akikimbiza mpira

Douglas Costa de Souza (aliyezaliwa Septemba 14, 1990) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Italia Juventus kwa mkopo kutoka Bayern Munich, na timu ya taifa la Brazil. Yeye anajulikana kwa ujuzi wake wa kukimbiza mpira kwa kasi kupita uwezo na kutoa krosi ili wafungaji waweze kumalizia.

Costa alianza kazi yake na Grêmio, kabla ya kuhamia Shakhtar Donetsk mwezi Januari 2010 kwa ada ya milioni 6.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Douglas Costa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.