Nenda kwa yaliyomo

Dorothee Hess-Maier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dorothee Hess-Maier ni mchapishaji wa vitabu kutoka Ujerumani ambaye kwa sasa amepunguza shughuli zake za kikazi. Aliwahi kuwa sehemu ya timu ya juu ya usimamizi katika kampuni ya uchapishaji ya Otto-Maier-Verlag na pia mwanachama wa bodi ya utendaji ya kampuni mshirika ya Ravensburger AG.[1][2]

Mwaka 1989 alikua mwanamke wa kwanza baada ya miaka 164 kuteuliwa kuwa Vorsteherin (kiongozi mkuu) wa Börsenverein des Deutschen Buchhandels, chama cha biashara ya vitabu nchini Ujerumani.[1][3]

Pia ametunukiwa Nishani ya Daraja la Kwanza ya Heshima ya Ujerumani kutokana na mchango wake katika sekta ya uchapishaji na elimu.[4][5]

  1. 1 2 [(https://buchmarkt.de/menschen/dorothee-hess-maier-85/) "Dorothee Hess-Maier (85)"]. Runde Geburtstage: Sie war die erste Frau an der Spitze des Börsenvereins. BuchMarkt Verlag K. Werner GmbH, Meerbusch. 6 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2022. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  2. [(https://www.munzinger.de/search/portrait/Dorothee+Hess+Maier/0/19138.html) "Dorothee Hess-Maier, deutsche Verlegerin; Ravensburger AG"]. Internationales Biographisches Archiv 08/2016 vom 23. Februar 2016 (cs). Munzinger Archiv GmbH, Ravensburg. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2022. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
  3. Kerstin Barthel (6 Novemba 2016). [(https://dasspielzeug.de/Industrie/Dorothee-Hess-Maier-wird-80) "Ravensburger Dorothee Hess-Maier wird 80"]. Das Spielzeug. Meisenbach GmbH Verlag, Bamberg. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2022. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
  4. Staatsministerium. [(https://web.archive.org/web/20150923182050/http://www.baden-wuerttemberg.de/de/service/presse/pressemitteilung/pid/verdienstkreuz-1-klasse-fuer-dorothee-hess-maier/) "Verdienstkreuz 1. Klasse für Dorothee Hess-Maier"]. Staatsministerium Baden-Württemberg, Stuttgart. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.baden-wuerttemberg.de/de/service/presse/pressemitteilung/pid/verdienstkreuz-1-klasse-fuer-dorothee-hess-maier/) chanzo] mnamo 23 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2022. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
  5. Arne Geertz (2015). [(https://web.archive.org/web/20150521093800/http://www.ph-weingarten.de/de/aktuelles-pressemitteilungen/2014-12-01_ehrensenatorin-hess-maier.php) "Dorothee Hess-Maier als Ehrensenatorin der PH ausgezeichnet"]. Wichtige Impulsgeberin im Hochschulrat seit 2000. Pädagogische Hochschule Weingarten. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.ph-weingarten.de/de/aktuelles-pressemitteilungen/2014-12-01_ehrensenatorin-hess-maier.php) chanzo] mnamo 21 Mei 2015. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2022. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dorothee Hess-Maier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.